Habari za Punde

*TAMASHA LA STR8 MUZIK INTER COLLEGE BASH LAFANA KATIKA VIWANJA VYA ROYAL VILLAGE MJINI DODOMA

 Msanii Diamond Akishambulia jukwaa kupitia Mwimbo wake wa Moyo Wangu, wakati wa Tamasha la Muzik Inter College Bash.
  Mashabiki wakipata Burudani kutoka kwa wasanii mbali mbali waliokuwa wakitoa burudani jukwaani mjini Dodoma.
 Juma Nature akishambulia jukwaa na Rich One.
 Baadhi ya wanachuo kutoka UDOM Julieth Gasto (aliyenyoosha kidole) akiwa na mzuka wakati akifurahia Tamasha hilo.
 Msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Barnaba, akishambulia jukwaa.
 Baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo mbali mbali waliohudhulia Tamasha hilo wakipozi kwa picha.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.