Habari za Punde

*TUFF RECORDS YA MORO YAANDAA WIMBO WA MIAKA 50 YA UHURU NA WASANII CHIPUKIZI WA MORO

Studio ya Tuff Records iliyopo mjini Morogoro, katika kushehelekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania, imewakutanisha wasanii chipukizi wa muziki wa Kizazi kipya 'Bongo Flava' katika tasnia ya muziki na kurekodi wimbo wa pamoja uitwao Tunaweza Miaka 50, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sherehe hizo na kuonyesha umoja wa wasanii hao wa mkoani Morogoro.Wimbo huu ni kwajili ya watu wote wenye upendo na inchi hii. Ni kwa ushilikiano na blog ya CHUMA (BFL) http://bongoflavalink.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.