GYM ya Zugo iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam, imeendelea kutoa mafunzo kabambe na mazoezi kwa vijana wanaopenda mchezo wa ngumi, ikiwa ni sehemu ya kuandaa vijana watakaorithi mchezo huo na kuliletea sifa Taifa la Tanzania katika Medani za mchezo wa ngumi. Pichani ni mwalimu wa mchezo huo, akimpa maelekezo kijana jinsi ya kutupa konde na kujihami.
NCHIMBI ATUA MASASI KUELEKEA TUNDURU
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara, akiwa safarini kuelekea
Tundur...
27 minutes ago
No comments:
Post a Comment