Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 18 WA HALI YA SIASA TANZANIA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa 18 wa Hali ya Siasa Tanzania unaofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, leo  ulioandaliwa na Taasisi ya REDET.
Baadhi ya wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Siasa Tanzania, wakimsikiliza Makamu wa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia mkutano huo ulioanza leo.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP, Said Sud Said, leo wakati akiagana na wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa hali ya Siasa Tanzania, unaofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Ubungo Plaza kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali  ya Saiasa, kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET.
Picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.