Taarifa zilizoufikia mtandao huu wa Sufianimafoto hivi punde zinasema kuwa. Mhariri wa Tanzania Daima na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda, pichani (kulia) anashikiliwa na Jeshi la Polisi makao makuu Dar es salaam ,kuhusiana na makala ya Mwigamba.
Hatua ya polisi ya kumwita kwa mahojiano mhariri mkuu wa Tanzania daima na mwenyekiti wa jukwaaa la wahariri Tanzania na kumfungulia kesi columnist wake mwigamba, imewashitua walio wengi na kuhoji kuwa Uhuru wa Vyombo vya habari kuhusu mawazo binafsi ya mtu unaanza kutekwa taratibu?
No comments:
Post a Comment