Habari za Punde

MVUA YAZIDI KUHARIBU MIUNDO MBINU YA MANISPAA YA IRINGA

 Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika Manispaa ya Iringa, imesababisha uharibifu mkubwa wa Miundombinu katika baadhi ya maeneo kama inavyoonekana katika picha hii, Wananchi wa eneo la Mkwawa wakipita katika Daraja lililolika na kubaki kipande kutokana na mvua hiyo.
Shimo kubwa lililopo eneo la kata ya Mvinjeni mjini Iringa, ambalo pia limetokana na mvua kubwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.