Baada ya kumaliza mkutano wa uwekezaji na wawekezaji watarajiwa wa Uingereza, nchini Tanzania, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja alipata fursa ya kukutana na Timu ya Urban Pulse Creative Media ili kufanya mahojiano maalum kuhusiana na changamoto na maendeleo ndani ya wizara yake, ambapo pia alipata kugongana uso kwa uso na wanamuziki wa bendi ya Twanga Pepeta waliokuwa katika ziara yao nchini humo hivi karibuni.
Mbali na hapo, Ngelaja alikutana na baadhi ya watanzania waliopo London katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.
Wadau wakipozi kwa picha (kushoto) ni Jack Pemba na wenzake.
No comments:
Post a Comment