Mwakilishi Mkazi wa UNOPS nchini Sierra Leone, Omary Mjenga, akiwa na Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS Bi. Mulunesh, Raia wa Ethiopia, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, ambazo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Sierra Leone, Ernest Koroma. Bi Mulunesh aliwahi kuwa Mwakilishi Mkazi wa UNAIDS nchini Tanzania mwaka 1996 hadi 2000.
TRA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA WA JUMLA TUZO ZA NBAA KWA MWAKA 2024
-
Mamlaka ya Mapato tanzania (TRA) yaibuka Mshindi wa Kwanza wa jumla kwenye
uandaaji wa hesabu za kifedha zinazozingatia viwango vya Kimataifa vya
Uhasibu k...
5 minutes ago

No comments:
Post a Comment