TIMU ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' imewaadhibu majirani zao Rwanda kwa mikwaju ya penati katika mchezo wa fainali ya Kombe la Chalenji uliochezwa leo jioni katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa michuano hiyo ya CECAFA Chalenji 2011 baada ya kuizamisha kwa penalti 3-2 timu ya Taifa ya Rwanda 'Amavubi'.
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA RAIS SAMIA KUANZA RASMI MKOA WA TANGA
APRILI 8 MWAKA HUU
-
Na Oscar Assenga, TANGA
KAMPENI ya Msaada wa kisheria ya Rais Dkt Samia Suluhu “Mama Samia Legal
Aid Campaign” inatarajiwa kuanza kutoa huduma za msaada ...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment