Rais Jakaya Kikwete akipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya uliowasilishwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Kalonzo Musyoka alipomtembelea Ofisini kwake ikulu Dar es Salaam leo. Picha na Ikulu
IMANI YA JUMUIYA YA KIMATAIFA KWA UONGOZI WA RAIS SAMIA IMEJIDHIHIRISHA
KUPITIA UFADHILI WA DOLA BILIONI 1.277 KUENDELEZA UJENZI WA SGR.
-
Aprili 28, 2026, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini
mkataba wa kukamilisha mpango wa ufadhili wa pamoja wenye thamani ya
takribani dola...
37 minutes ago

No comments:
Post a Comment