Mkuu wa Kitengo cha Kompyuta Mwandamizi kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akionyesha mashine ya Selcom Gaming, wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, uliofanyika jijini Dar es salaam jana. Mashine hizo ziitwazo ‘Selcom Pay points’, zitatumika kwa wahitimu wa kujitegemea wa kidato cha nne (CSEE) na Maarifa (QT ) .Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo, Juma Mgori. Picha na Mpiga Picha Wetu
ZAMBIA YACHEZA MECHI YA PILI BILA USHINDI AFCON, 0-0 NA COMORO
-
TIMU ya taifa ya Zambia imetoa sare ya bila mabao, 0–0 na Comoro katika
mchezo wa Kundi A Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 usiku
huu Uw...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment