Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbrod Slaa usiku huu Ikulu jijini Dar es salaam wakati Uongozi wa chama hicho ulipofika kukutana na Rais kwa muendelezo wa mazungumzo ya mchakato wa Katiba mpya.
Rais Jakaya Kikwete akipokea mapendekezo ya chama cha NCCR-MAGEUZI kuhusu mchakato wa Katiba toka kwa Mwenyekiti wa chama hicho Mh James Mbatia leo alipokutana na uongozi wa chama hicho Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na uongozi wa NCCR-MAGEUZI
Hahahahaa atlast umejisalimisha mwenyewe...imekuwaje? hapo Slaa alienda kuonana na nani?
ReplyDelete