Mshambuliaji wa Man U, Rooney, akishangilia na beki wake, Evra, baada ya kufunga bao wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika muda mchache uliopita na Man U kuibuka na ushindi wa mabao 3-2.
SERIKALI YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA MADHEHEBU YA DINI
-
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Serikali imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na madhehebu ya
dini nchini, ikitambua mchango wake katika ...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment