Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AWAAPISHA NAIBU MUFTI NA MKURUGENZI WA MASHITAKA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Ibrahim Mzee Ibrahim, kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mahmoud Mussa Wadi, kuwa Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ya picha ya pamoja na Ibrahim Mzee Ibrahim, Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,(kulia) na Mahmoud Mussa Wadi, Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, baada ya kuwaapisha kushika nafasi hizo jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wakuu wa Serikali baada ya kuwaapisha Ibrahim Mzee Ibrahim, Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,(kushoto kwa Rais) na Mahmoud Mussa Wadi, Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar,(kushoto kwa Rais)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.