Washiriki wa semina ya Taasisi za kifedha (TAMFI) wakimsikiliza Mkuu wa kitengo cha Mauzo cha Vodacom m-pesa, Franklin Bagalla, wakati wa mafunzo maalum kuhusu huduma ya M-Pesa iliyotplewa kwa washiriki kutoka Taasisi ya Kifedha kwa ajili ya taasisi hizo kunufaika na huduma ya Vodacom m-pesa,iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Mauzo cha Vodacom m-pesa Franklin Bagalla (kulia) akisikiliza swali kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Association of Microfinance Association (TAMFI) Joel Mwakitalu, wakati wa mafunzo maalum kwa ajili ya Chama cha Taasisi za kifedha kuweza kunufaika na huduma ya m-pesa,semina hiyo iliandaliwa na Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment