Timu ya Taifa 'Taifa Stars' leo imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Msumbiji ‘Mambas’, katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Mataifa Afrika 2013, katika mchezo uliomalizika jioni ya leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
WANASEMAJE MTANANGE WA TAIFA STARS NA SUPER EAGLES
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kinaingia uwanjani kesho
Jumanne huko Fes, Morocco, kikiwa na dhamira ya kuandika historia mpya
katik...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment