Habari za Punde

*MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI JAJI MSATAAFU LUBUVA AZUNGUMZIA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mstaafu Jaji Damian Lubuva,  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani leo jijini Dar es Salaam,  kuhusu Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki unaotarajiwa kufanyika tarehe 1 Aprili mwaka huu ambapo alisema kuwa watatumia daftari liliotumika katika Uchaguzi wa mwaka 2010 ambalo limefanyiwa marekebisho na kutumika ktika Uchaguzi mdogo utakaowashirikisha jumla ya wapiga kura 127,455.Awali daftari la wapiga kura liliotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2010 lilikuwa na wapigakura 127,429. na baada ya marekebisho litakuwa na nyongeza ya wapiga kura 26 .Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Jullius Mallaba. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo leo katika Ofisi za Tume ya uchaguzi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.