Order Acknowledgement's for three (3) Orders Tunahitaji Michango yenu ( Michango yenu )
Mama mjamzito akifapatiwa matibabu kupitia mashine
Tuna furaha nyingi mbele yenu kutuma maelezo yanayojionesha hapo juu
Tunapenda kutoa tarifa hizi za kujaaliwa kupata mafanikio ya mashine tatu za ultrasound kupitia kampuni maarufu hapa marekani Sonosite Machine hizo Re Manufactured by Sonosite, kama maelezo yalivyoweza Kuonyeshwa katika kiambatanisho hapo chini
Kujua zaidi huduma ya mashine hii Bofya hapa
Kutokana na huduma Hafifu katika sekta ya afya katika hospital zetu machine zote zinakwenda kutumika katika hospital zetu Wete, Machui Clinic na Zanzibar Outreach Program.
Machui Clinics wako tayari kufanya Malipo yao moja kwa moja kupitia sonosite na machine zilizobakia zinatakiwa kulipwa na Wazanzibar na Watanzania kwa ujumla, tunawaomba ndugu wote bila ya kujali itikadi zetu kutoa michango yenu ya hiari katika kusaidia kutuma machine mbili huko Tanzania Zanzibar gharama zimeoneshwa katika attachments shipping pia inatakiwa kufanyika baina seatlle hadi Zanzibar.
Nipo tayari kutoka account yangu kwa wale wote walio tayari kusaidia kutoa michango yao kama ifuatavyo.
Jina: Amin ibrahim ally, Bank of America, Account 32000473, State Washington
Address 13932 NE 14th st apt 8 Bellevue WA 98005
Pay pal account Aminallybts161@live.com
Napenda kumalizia ombi hili kwa kutoa changamoto kwa wazanzibar na watanzania kwa ujumla jukumu la maendeleo ya nchi lipo pia katika mikono yetu siyo serikali pekee tumia nafasi yako kusaidia taifa Lako na wananchi wote na sonosite iko tayari kutizama Matumizi ya Mashine hizi na kutoa missada mengine zaidi hapo baadaye.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Amin Ibrahim, Number ya simu 425 943-0074
Napenda kutanguliza shurkani zangu za dhati kwenu na pia naomba michango yenu
Napenda kutanguliza shurkani zangu za dhati kwenu na pia naomba michango yenu
No comments:
Post a Comment