Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu, Paul Victor Chiwile, aliyefariki duni Machi 23. Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zimefanyika Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo jioni na kuzikwa eneo hilo la Kibaha.
Watoto wa marehemu wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa shughuli hiyo ya kuaga mwili wa baba yao.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka Shada la maua katika kaburi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu, Paul Victor Chiwile, aliyefariki duni Machi 23. Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zimefanyika Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo jioni na kuzikwa eneo hilo la Kibaha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la maua katika kaburi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu, Paul Victor Chiwile, aliyefariki duni Machi 23. Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zimefanyika Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo jioni na kuzikwa eneo hilo la Kibaha.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na baadhi ya viongozi wa Serikali, wakijumuika na wananchi katika shughuli za maziko ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale, Paul Victor Chiwile, iliyofanyika leo jioni Kibaha.
No comments:
Post a Comment