Habari za Punde

*TUGHE NA TCAA WASAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKISHWAJI KAZINI

Mwenyekiti wa tawi la  TCAA (TUGHE)   Eugine Lwala (kushoto) akikabidhi Mkataba mpya wa ushirikishwaji  wa wafanyakazi kupitia  Baraza la Wafanyakazi na  TUGHE  baada ya kusainiwa na  baadhi ya viongozi wa TUGHE Taifa na TUGHE, TCAA
 Viongozi waliokuwa meza kuu wakiimba mwimbo wa pamoja maalum wa Ushirikiano kazini, wakati wa hafla hiyo ya kusainiana mkataba wa ushirikishwaji wa Wafanyakazi katika sehemu za kazi baina ya TUGHE na TCAA, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
 Viongozi wa TUGHE na TCAA, wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu baada ya hafla hiyo ya kusainiana mkataba huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.