Meneja Mahusiano kwa Umma na Habari za Mtandao wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akionesha nambari za washindi 100 wa droo ya siku ya promosheni ya M-PESA waliojishindia Sh. 50, 000 kila mmoja, wakati wa hafla ya kuchezesha droo hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia ni Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom, Reenu Verma na Mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini, Bakari Maggid.
Biashara : NBC Yakutana na Wateja Wake Wakubwa wa Jijini Arusha
-
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekutana na wateja wake wakubwa kutoka
kampuni, wateja binafsi na taasisi mbali mbali (Corporates) wa jijini
Arusha il...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment