Mkazi wa Kijiji cha Mhekela Wilaya ya Mbinga, akikokota Baiskeli yake iliyosheheni mzigo wa mbao akipeleka mitaa ya katikati ya mji huo kusaka wateja, kama alivyonaswa na kamera ya sufianimafoto hivi karibuni.
WADAU WA LISHE WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUTEKELEZA ELIMU YA LISHE SUMBAWANGA.
-
WADAU wote wa lishe wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wametakiwa
kuendelea kushirikiana katika utekelezaji wa elimu ya lishe unaotolewa
katika jamii...
12 minutes ago

No comments:
Post a Comment