Je Kazi ya Askari wa Usalama Barabarani ni pamoja na kumkamata dereva kama wa gari hili ama la? kwani kama picha hii inavyoonekana Askari wa Usalama Barabarani akiwa upande wa Kulia, akilishangaa tu gari hili lililosheheni mzigo uliozidi uwezo wa gari huku likienda upande na kuhatarisha usalama wa magari mengine yanayopishana nalo katika barabara ya Tunguu mjini Zanzibar hivi karibuni.
VIJANA NA WAJIBU WA KULINDA AMANI KAMA MTAJI WA MAENDELEO YA TAIFA
-
Vijana wana jukumu kubwa la kulinda amani ya nchi, kwani wao ndio nguvu
kazi ya Taifa na viongozi wa kesho. Kwa wingi wao, ubunifu wao na ushawishi
wao ...
12 hours ago

No comments:
Post a Comment