Mshatkiwa Elizabeth Michael |(17), ' Lulu'
akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wakati akipelekwa kupandishwa kizimbani katika kesi inayomkabili ambapo kesi hiyo leo ilifika mahakamani hapo kwa ajili ya
kutajwa kutokana na Upelelezi kuwa bado haujakamilika. Kwa mujibu wa Wakili wa Serikali
Elizabeth Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Rita Tarimo
kuwa kesi hiyo itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa rumande. Picha na Mpiga Picha Wetu
NSSF: Wananchi Waliojiajiri Jiungeni, Jiwekeeni Akiba kwa Kesho Yenye
Uhakika
-
Dar es Salaam, Julai 10, 2026
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umewahimiza wananchi waliojiajiri
nchini kujiunga na kuchangia katika Mfuko huo il...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment