Habari za Punde

*CHADEMA WAZINDUA KAMPENI YA DIRA YA MABADILIKO 'MOVEMENT FOR CHANGE' JIJINI DAR LEO

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa jijini Dar es Salaam, waliohudhuria mkutano wa chama hicho uliofanyika kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo, kuhusu Dira ya Mabadiliko 'Movement For Change'.  
 Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akitembeza kibakuli kuchangisha fedha za kuendeshea Kampeni hiyo.
 Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo.
Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Tundu Lisu na Godbless Lema.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.