Wahusika wamechemka nini kuvidhibiti Vibajaji kujazana maeneo ya katikati ya mji? Japo wahusika walianza kwa kazi na kutangaza utaratibu wa usafiri kama huu ikiwa ni pamoja na Vidaladala Hice kutofika maeneo ya katikati ya mji lakini hivi sasa inaonekana kulegeza kamba kama si kushindwa udhibiti huo kwani siku hizi imekuwa ni kawaida tu kuviona vibajaji na Pikipiki 'Bodaboda' zikiwa zimetega maeneo ya Posta Mpya pembeni mwa Jengo la Benjamin Mkapa mida ya kuanzia saa 10 jioni zikisubiri abiria.
KRETA YA EMPAKAAI (EMPAKAAI CRATER).
-
Kasoko ya Empakaai ni mojawapo ya Kasoko za volkano ndani ya Hifadhi ya
Ngorongoro, ikiwa na kingo za juu na ziwa zuri linalofunika zaidi ya
asilimia 75 ...
15 minutes ago
.jpg)
No comments:
Post a Comment