Mjumbe maalum wa Rais wa Angola Dkt. Andre de Oliveira Sango, akiwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Angola, kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana Ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi. Picha na Freddy Maro
Dkt. Malasusa Akemea Uzandiki na Tabia za Kichonganishi
-
Katika kile kinachoonekana kama hatua ya kurejesha utulivu wa kijamii na
kiroho nchini, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Askofu...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment