Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal (kulia) akizungumza na Wanawake Watanzania wanaoishi Nchini Botswana jana jioni.
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake Watanzania wanaoishi nchini Botswana baada ya mazungumzo na Watanzania hao jana jioni mjini Gaborone Botswana.
No comments:
Post a Comment