Habari za Punde

*ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM NAPE NNAUYE MKOANI KAGERA

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwasili na ujumbe wake kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba, kwa ajili ya ziara ya siku moja maalum kwa kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM, mkoani Kagera ambako pamoja na shughuli nyingine alifungua Baraza la Vijana wa CCM, Wilaya ya Missenyi mkoani humo.
Nape alipata fursa ya  kucheza gofu kwenye viwanja vya mchezo huo vya Dioniz Malizni (kulia) nje kidogo ya mji wa Bukoba.


Nape alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mjini Bukoba na kupokelewa na wanachama wa CCM.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.