Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa Afrika wakiwa katika mdahalo wa Taasisi ya Kilimo ya GroAfrica, uliofanyika katika jengo la Makao Makuu Mapya ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia leo. Mdahalo huo umefanyika kingoni mwa Mkutano wa Uchumi wa Kimataifa kwa Afrika. PICHA NA IKULU
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
2 days ago
No comments:
Post a Comment