Habari za Punde

*TAIFA STARS YAONDOKA ALFAJIRI YA LEO KWENDA ABDIJAN

Wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo alfajiri, wakati wakiondoka kuelekea Abidjan kwa ajili ya kucheza mechi yao ya mchujo ya kwanza ya kuwania tiketi ya kucheza Kombe la Dunia dhidi ya Ivory Coast. Mchezo huo unatarajia kuchezwa siku ya Jumamosi. Picha kwa hisani ya Father Kidev Blog

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.