Baadhi ya Warembo wanaotarajia kushiriki shindano la Redds Miss Kigamboni City 2012 wakiwa katika picha ya poamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa ndani wa Brake Point Outdor jijini Dar es Salaam. Jumla ya warembo 15 wameanza kujifua kwa ajili ya kuwania tajhi hilo.
Warembo wakimsikiliza Mwalimu wao, Laura Kombe, wakati akiwapa maelekezo kwenye mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa ndani wa Brake Point Outdor jijini Dar es Salaam.
Warembo wa Miss Kigamboni City wakifanya mazoezi ya show o ya ufunguzi. Picha na FATHER KIDEVU


No comments:
Post a Comment