Baada ya uzinduzi wa tawi la Chadema jijini Washington Dc, wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar, akiwaka katika picha ya pamoja na Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Msigwa ndani ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Wabunge wa Chadema Mhe. Peter Msigwa (wapili kushoto), Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu Dogo Janja, (Watatu kulia), ofisa wa ubalozi , Kaimu Balozi Mhe Lilian Munanka, pamoja na viongozi wa tawi la Chadema Washington Dc wakipata picha ya pamoja na balozi Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar baada ya kumtembelea Ofisini kwake jana, Washington Dc Nchini Marekani.
Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Msigwa akipata picha ya pamoja na Watanzania waishio nchini Marekani, ndani ya Ubalozi wa Tanzania Washington Dc. Picha na Mpigapicha wetu
No comments:
Post a Comment