Moja ya mikakati iliyowekwa na Manispaa ya Wilaya ya Ilala ya kupendezesha Mji ni kama hivi, ukifika mahala hapa utavutiwa hata kwa kutamani kupiga picha ama kupigwa picha ukipozi mahala hapo, hii ni Round About iliyopo mbele ya Msikiti wa Ngazija katikati ya Mji maeneo ya Posta, ambapo kuna Taswira za wanyama, kama Mamba, Twiga na wengineo. Ama kwa hakika juhudi za Jery Slaa, za kuupendezesha mji zinaanza kuonekana, sasa wabongo tuenzi na kutunza sehemu kama hizi kwa usafi wa mazingira na pia kila mmoja awe mlinzi wa mwenzake na pia iwekwe sheria na uchafuzi wa mazingira mahala kama hapa ili Wananchi wajifunze kutokana na makosa. 'PAMOJA TUNAWEZA'
TANZANIA YABEBA TUZO NNE ZA JUAKALI KIGALI
-
Tanzania imeibuka mshindi na kupata tuzo nne kati ya sita katika Maonesho
ya 26 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Afrika Mashariki, maarufu kama
Jua...
20 minutes ago

No comments:
Post a Comment