Katibu Msaidizi wa CCM Bi. Anastazia Mwonga, akimkabizi fomu ya kugombea Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya ya Temeke Bw. Yahaya Ndomondo jijini Dar es salaam jana kwa ajili ya kinyanganyiro cha uchaguzi wa chama hicho, unaotarajia kufanyika hivi karibuni.
DKT. KIJAJI: TANAPA, TAWA NENDENI NA KASI YA RAIS SAMIA KUCHECHEMUA UTALII
-
Na Sixmund Begashe, Iringa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, amezitaka taasisi za
uhifadhi nchini, Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment