Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, aliyemaliza muda wake Dkt. Asha-Rose Migiro, anawasili nchini leo na Ndege ya Emirates, baada ya kumaliza muda wake wa kutumikia Shirika la Umoja wa Mataifa (UN). Kdk. Migiro, atapokelewa na viongozi wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa waliopo nchini Tanzania, wakiongozwa na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Dkt. Alberic Kacou.
WMA ARUSHA YATOA ONYO KALI KWA WAKULIMA WA VITUNGUU
-
Na.Vero Ignatus, Arusha
Wakala wa vipimo mkoani Arusha WMA wametoa onyo Kali Kwa wauzaji wa
vitunguu kuacha kutumia vipimo vya Rumbesa badala yake watu...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment