Waendesha Pikipiki, Baiskeli na waenda kwa miguu, wote kwa pamoja wakisubiri kuvuka katika eneo ambalo si rasmi katika Taa za kuongozea magari za Tazara. Eneo hili lipo eneo maalu lililo na alama ya Zebra kwa ajili ya kuvukia waenda kwa miguu, lakini wengi wamekuwa wakidharau taratibu hizo na kujivukia kiholela jambo ambalo linasababisha ajali zisizotarajiwa za mara kwa mara.
DC MSANDO MGUU KWA MGUU MBURAHATI UFUFUAJI VISIMA
-
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Mheshimiwa Abert Msando ametembelea na
kukagua hali ya huduma ya upatikanaji maji kata ya Mburahati wilayani humo
huku akito...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment