Watoto wa Kike wa Mkoani Kilimanjaro, wakikokota Punda wao kuelekea kusaka maji katika visima vya chemchem, abapo imeelezwa kuwa watoto wengi wa kike wa maeneo hayo wamekuwa wakishindwa kuhudhuria masomo kutokana na kupewa majukumu ya kusaka maji na wazazi wao.
Bei ya Petroli Yashuka Tena Desemba, EWURA Yatangaza Bei Mpya
-
DODOMA: Mamlaka ya Ushibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA)
imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta aina ya petroli zitakazotumika
hapa nchini kwa ...
34 minutes ago

No comments:
Post a Comment