Rais wa Rwanda, Paul Kagame, akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Shy-Rose Bhanji, baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa vyombo vya habari vya Afrika Mashariki katika Hoteli ya Serena mjini Kigali, Rwanda jana. Picha na Mukhatar Bolyao- EAC
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
6 days ago
No comments:
Post a Comment