Mkurugenzi wa Bidhaa na Huduma za reja reja wa Benki ya Barclays, Zahid Mustafa (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa, Neema Rwehumbiza (katikati) wakionyesha kadi ya ATM Platinum itakayotumiwa na wateja wakubwa wa benki hiyo wakati wa uzinduzi wa huduma ya Barclays Premier ya wateja hao jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Barclays, Tunu Kavishe.
WANASEMAJE MTANANGE WA TAIFA STARS NA SUPER EAGLES
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kinaingia uwanjani kesho
Jumanne huko Fes, Morocco, kikiwa na dhamira ya kuandika historia mpya
katik...
1 hour ago
.jpg)
No comments:
Post a Comment