Habari za Punde

*SERIKALI YA CHINA YAKABIDHI KOMPYUTA NA VITABU KWA MAKTABA YA TAIFA (TLSB)

 Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa (TLSB) nchini Dkt. Alli Mcharazo (kushoto) akifanya makabidhiano na Mwakilishi wa Serikali ya China, Ling U, wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika leo jijinii Dar es salaam. ambapo Serikali ya watu wa China imekabidhii vitabu hivyo vya kusomea, komputa na mashelfu ya kuwekea vitabu katika maktaba ya  taifa ya vitabu nchini (TLSB).
 Wanahabari wakiwajibika wakati wa hafla hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Selestine Gisimba, akijaribu kutumia moja ya kaomputa zilizokabidhiwa na Serikali ya watu wa China kwaajili ya matumizi ya maktaba kuu ya taifa nchini,leo  katika hafla ya makabidhiano hayo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.