Habari za Punde

*MCHUANO WA SHINDANO LA MISS ILALA BADO KUANZA

 Jukwaa la shoo hiyo likiwa bado kuzinduliwa.....
 Msanii Banana Zorro, akishambulia jukwaa na wanamuziki wa bendi yake, kusogeza muda....
 Ni miziki ya kila aina inaporomoshwa na bendi ya Banana Zorro.....
 Mwandishi Mahiri, Sauda Mwilima, akipozi na mdogo wake, Rachel Ndauka....
Baadhiy warembo wakiwa ndani ya nyumba wakichati na simu zao kuwajuza wenzao kuwahi katika shoo hiyo...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.