Habari za Punde

*NAELA MICHAEL ATWAA TAJI LA MISS ILALA 2012

 Miss Ilala 2012, Naela Michael (katikati) akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili Magdalena Munis (kushoto)  na mshindi wa tatu, Marry Chizi, baada ya kutangazwa washindi katika shindano lao lililofanyika kwenye Ukumbi wa Nyumbani Lounge, Namanga jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.
 Miss Ilala 2012, Naela Michael, akiwa na furaha baada ya kuvishwa taji hilo na kutangazwa mshindi kwa kuwabwaga washindani wake 13 katika shindano hilo.
 Washiriki wa shindano hilo, wakicheza shoo yao ya pamoja ya ufunguzi.
 Shoo ya ufinguzi.
 Mgeni rasmi, Meya wa Ilala Jerry Slaa (wa pili kushoto) akifurahia shoo hiyo wakati akiwa na wageni waalikwa katika shinano hilo.
 Washiriki wakipita jikwaani na vazi la Ufukweni.
 Mshiriki akijinafasi na vazi la Ufukweni jukwaani.
  Mshiriki akijinafasi na vazi la Ubunifu jukwaani.
  Mshiriki ambaye ni Miss Ilala Namba 2, Magdalena Munis, akijinafasi na vazi la Ubunifu jukwaani. Mrembo huyu mashabiki walimtunuku jina la Lady Gaga, kutokana na mavazi na mapigo yake kuanzia la ubunifu, la Talent Shoo, la usiku na la ufukweni.
 Mshiriki akipita jukwaani na vazi la ubunifu.
 Sehemu ya mashabiki wa fani ya urembo wakifurahia shoo hiyo.
 Washiriki wakipita jukwaani na vazi la Ufukweni.
 Warembo wa 5 bora katika shindano hilo, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi.
 Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Temeke, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria shoo hiyo.

 Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Temeke, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria shoo hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.