Habari za Punde

*MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIFARIKI NCHINI SUDANI YAAGWA LEO

 Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba moja ya jeneza lenye mwili wa askari mmoja kati ya wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji  wakivuka mto Lamada nchini Sudan, hivi karibuni wakati wakielekea kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa. Shughuli ya kuaga miili hiyo imefanyika leo mchana Lugalo jijini Dar es Salaam.
 Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba moja ya jeneza lenye mwili wa askari mmoja kati ya wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji.
 Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange, akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.
 Katibu mkuu wizara ya ulinzi  akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.
Mkuuwa Majeshi nchini, Devis Mwamunyange, akimfariji mke wa moja wa askari walifariki Bi, Fatuma Chunguile.
Askari wa JWT wakipakia moja ya jeneza lenye mwili wa marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Maziko. Picha na JWTZ

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.