Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA AFYA KUTOKA CHINA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na  Mkurugenzi Mkuu wa Afya Jimbo la Jiangsu ncini China, Bibi Wong Young Hong,(kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,akiwa na ujumbe wa Watu kumi na moja (11) leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Afya Jimbo la Jiangsu nchini China, Bibi Wong Young Hong, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,akifuatana na ujumbe wa Watu kumi na moja (11) leo.  
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.