Habari za Punde

*NAPE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU VIKAO VYA CCM


Katibu wa Nec,Itikadi na Uenezi Taifa wa CCM,Nape Nnauye,alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari leo kuhusu Kufanyika kwa Vikao vya juu vya Chama hicho katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma,vikijadili majina ya  wagombea nafasi mbali mbali zikiwemo,Uwenyekiti wa Wilaya na Mikoa na Ujumbe wa Halamashauri Kuu ya Taifa.Picha na Ramadhan Othman,Dodoma

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.