Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora Jaji Kiongozi (Mstaafu) Amiri Ramadhan Manento (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo wakati akitoa muhtasari wa taarifa ya Uchunguzi wa Tume yake kuhusu tukio lililopelekea kifo cha mwandishi wa habari, marehemu Daudi Mwangosi, kilichokea hivi karibuni, kijijini Nyololo, Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa. (Kushoto) ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mahfoudha.A. Hamid na (kulia) ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Tume hiyo Florida Kazora.
Sehemu ya wanahabari waliohudhuria.....
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mahfoudha.A. Hamid. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
No comments:
Post a Comment