Amirijeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Rais Jakaya
Kikwete akimwapisha Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza Tanzania, Kamishna
Jenerali John Casmir Minja, Ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi.
Rais Kikwete akimkabidhi nyenzo baada ya kumwapisha Mkuu huyo mpya wa
Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja. Picha
zote na Freddy Maro


No comments:
Post a Comment