
Kwa mujibu wa msemaji wa familia aliyejitambulisha kwa jina moja la Azizi, aliyeongea na tovuti ya Saluti5.com jana usiku, ni kwamba katika maisha yake yote, Mlopelo alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya mwili yaliyokuwa yakitulia na kuibuka tena hadi umauti ulipomfika.
Aziz, amesema mazishi yalipangwa kufanyika Temeke leo Ijumaa saa 4 na kwamba msiba uko Temeke Wailes mtaa wa Boko.
No comments:
Post a Comment