Naleta kwenu mfululizo wa 147 Critics, ambayo ni mahojiano ya wadau wa Filamu na Muziki yaliyofanywa na TFCA-
Tanzania Film Critics Association(On line Platform) kuhusiana na marekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa Sura 147
ambayo yatapelekea kuanzia mwezi wa January 2013 bidhaa zote za Filamu na Muziki zilizopo hapa Tanzania kuwekewa
Stamp/Sticker kwa ajili ya Kurasimisha,Kumpatia kipato halali msanii na Kukusanya mapato ya serikali yanayotokana na
uuzaji wa kazi husika.
Sheria hii ina changamoto nyingi ambazo kama hazitatatuliwa zinaweza kuifanya sheria husiaka isfikie malengo yake,Je
wadau wanasemaje kuhusiana na hilo?
Tusikilize 147 Critics : Dr. Vicensia Shule (1) akiwa ni mtu wa kwanza kutupa maoni yake kupitia link hii
http://youtu.be/qnm6l1A3RH4 .
KONGAMANO LA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA UBELGIJI KUVUTIA WAWEKEZAJI
-
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo akizungumza leo Novemba
25, jijini Dar es Salaam wakati wa kongamano la Uwekezaji.
KITUO cha Uwekezaj...
1 minute ago
No comments:
Post a Comment